Saturday, June 26, 2010

Hekaheka 25/06/10

CLIP
Uzalendo na kuvunja ni maneno yasiyoambatana, huku moja likisimamia uzuri na lingine likisimamia ubaya. Lakini itakuwa vipi ikiwa mzalendo ataondokea kuwaadhibu wale wakaidi katika jamii?Franklin Macharia anaelezea zaidi kwenye makala ya hekaheka.

No comments:

Post a Comment